Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego ametoa yake ya moyoni baada ya kuona muigizaji wa filamu za bongo Steve Nyerere kumshauri baada ya kutambulisha wimbo wake mpya.
Nay ameonyesha kutokukubaliana na ushauri huo jambo ambalo amelichukulia kama ni kufuatiliwa na kuingiliwa kazi yake hivyo kuamua kumjibu asteve.
Majibizano haya yameendelea kupitia kurasa zao za kijamii za mtandao wa Instagram
0 Comments