POGBA KUSALIA MAN U

 

Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 28, ambaye amehusishwa na uhamisho wa kujiunga na PSG na Real Madrid, anaelekea kuongeza kandarasi yake katika klabu ya Man United baada ya Cristiano Ronaldo kurudi Old Trafford.

Post a Comment

0 Comments