Kuelekea mchezo wa Yanga na Kagera Sugar hapo kesho katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera Meneja wa klabu ya YANGA Saleh Hafidh amesema "wachezaji waliobaki watatu hawako fiti, Mukoko anaendelea kutumikia adhabu ya kadi nyekundu" .
Klabu hiyo itawakosa wachezaji Mukoko Tonombe,Saido Ntibanzokiza,Balama Mapinduzi, Dickson Ambundo na Yassin Mustapha.