Mwanaume Najua kuna kile kipindi mkeo ukimkera anaongea sana....

👉Anakupa lawama sana...

👉Anatafuta usuruhishi sana...

.👉Anakushtaki sana....

👉Anakulilia sanaaaa ili ubadilike 

👉Anaumia sana kuhusu tabia zako.

MPAKA UNAMUONA ANAKUKERA 

Mwanaume kama mkeo yuko kwenye kipindi hiki shukuru MUNGU kuwa bado unapendwa yaani MOYO wake bado mbichi juu yako.....Mpe thamani yake. Badilika.....

KUNA MDA HUWA UNAFIKA 

👉HUTAONA ANALALAMIKA TENA

👉HUTAONA AKITAFUTA SULUHU TENA

👉 HUTAONA AKIENDA KUSHTAKI TENA

👉 HUTAONA HATA URUDI ASUBUHU HAKUULIZI TENA,,

👉HUTAONA AKIHANGAIKA KWENDA KWA WAZAZI WAKO KUKUSHTAKI 

Akifikia hii hatua brother,  ushampoteza Mke!!!!!! Kama ni Karata umebaki na garasha  tu.Jua MOYO  wake unalelewa sehemu nyingine kama sio umegeuka SUGU.

Tena anakuchukulia kawaida tu!!! Huyu mwanamke kumfanya akupende tena itakuchukua hata karne nzima,Atakucheat bila majuto moyoni Maana MOYO wake umejaa visasi juu yako .Utaweka vikao vya kumfanya abadilike lakini itakuwa too late!!!

Jua tu Mwanamke ni dhaifu sana akipenda ila ni jasiri sana akichoka kuumia!!!.

NAKUKUMBUSHA TU