SIMBA YASHINDWA KUUNGURUMA UGENINI

 

Mchezo wa Simba dhidi ya Biashara United ya mkoani Mara umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwa kila timu kushindwa kuonyesha ubabe  kwa mwenzie.

Mchezo huo ambao umechezwa kunako dimba la Karume -Musoma -Mara umemalizika bila kufungana na kufanya ubao wa matokeo kusomeka 0-0.

Post a Comment

0 Comments