SIMBA QUEENS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA

 


Timu ya simba ya wanawake imepata ushindi wa magoli 10-0 wakicheza na FAD Fc ya Djibout katika mechi ya Kundi A ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake Ukanda wa CECAFA.

Kutokana na ushindi huo timu ya simba queens sasa imefuzu kucheza nusu fainali katika mashindano hayo.

Post a Comment

0 Comments