Shabiki wa Simba January Makamba amewajibu wale wote wanaosema jezi ya @Simbasctanzania imejaa matangazo.

Katika ukurasa wake wa twitter Makamba ameandika'' Sisi tunayafurahia . Tumechukua ubingwa mara nne mfululizo na matangazo hayo hayo kwenye jezi. Tutafanya utafiti ,tukibaini matangazo kwenye jezi yana uhusiano na kupata ubingwa,tutaomba yaongezwe''.