Mechi ya kufuzu kombe la dunia 2022 kati ya Tanzania na Madagascar inayotarajiwa kuchezwa hapo kesho kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa itachezwa bila mashabiki kutokana na maelekezo ya FIFA kuhusu taratibu za kujikinga na virusi vya Corona .