Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania Divisheni ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi maarufu kama mahakama ya mafisadi Elinaza Luvanda amejitoa kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na wenzake.

Jaji huyo amejitoa baada ya Freeman Mbowe kumuomba ajitoe kwa madai kwamba  kuna taarifa jaji huyo amewekwa kimkakati hivyo hatomtendea haki.