TANZANIA YAPANDA CHATI FIFA

 


Tanzania imepanda kwa nafasi tatu katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Septemba

Kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotangazwa , Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 135 hadi ya 132 na kuzipiku nchi za Togo, Lithuania na Comoro ambazo zilikuwa juu yake katika viwango vya ubora vya mwezi uliopita.

40 bora ya viwango vya ubora katika soka kwa nchi za Africa 

1. 🇸🇳 Senegal (20)
2. 🇹🇳 Tunisia (25)
3. 🇩🇿 Algeria (30)
4. 🇲🇦 Morocco (33)
5. 🇳🇬 Nigeria (34)
6. 🇪🇬 Egypt (48)
7. 🇬🇭 Ghana (53)
8. 🇨🇮 Ivory Coast (54)
9. 🇨🇲 Cameroon (58)
10. 🇲🇱 Mali (61)
11. 🇧🇫 Burkina Faso (62)
12. 🇨🇩 DR Congo (67)
13. 🇿🇦 South Africa (73)
14. 🇬🇳 Guinea (76)
15. 🇨🇻 Cape Verde (77)
16. 🇧🇯 Benin (82)
17. 🇿🇲 Zambia (85)
18. 🇺🇬 Uganda (86)
19. 🇬🇦 Gabon (88)
20. 🇨🇬 Congo (92)
21. 🇲🇬 Madagascar (100)
22. 🇰🇪 Kenya (102)
23. 🇲🇷 Mauritania (104)
24. 🇬🇼 G. Bissau (105)
25. 🇳🇦 Namibia (106)
26. 🇸🇱 Sierra Leone (108)
27. 🇱🇾 Libya (110)
28. 🇿🇼 Zimbabwe (113)
29. 🇲🇼 Malawi (115)
30. 🇲🇿 Mozambique (116)
31. 🇳🇪 Niger (119)
32. 🇨🇫 Central Africa (124)
33. 🇸🇩 Sudan (127)
34. 🇷🇼 Rwanda (128)
35. 🇦🇴 Angola (129)
36. 🇬🇶 Equatorial Guinea (131)
37. 🇹🇿 Tanzania (132)
38. 🇰🇲 Comoros (133)
39. 🇪🇹 Ethiopia (134)
40. 🇹🇬 Togo (136)

Post a Comment

0 Comments