Mchezo wa kirafiki baina ya klabu ya Simba na TP Mazembe kunako dimba la Mkapa jijini Dar es salam umemalizika kwa Simba kuchapwa bao 1-0 bao lililofungwa dakika za lala salama za mchezo huo .

Mchezo huu ulikuwa unahitimisha kilele cha tamasha la Simba maarufu kama Simba day.