Rasmi klabu ya YANGA imeondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika baada ya kufungwa jumla ya magoli 2-0 katika mechi zake zote mbili ya nyumbani na ugenini dhidi ya Rivers United ya kule Nigeria.
Sasa Yanga wanarejea kujipanga kwaajili ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara ambao rasmi utafunguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii baina yake na watani wake wa jadi Simba utakaochezwa hapo Septemba 25 mwaka huu.
0 Comments