![]() |
Jude Bellingham |
United pia inaangalia kwa ukaribu kumsainisha Jude Bellingham baada ya kumvutia kiungo huyo wa Uingereza katika ziara waliyoifanya kablahajaamua kuhamia Borussia Dortmund.
![]() |
Edinson Cavan |
Kiungo mshambuliaji wa Manchester United Edinson Cavan ameonesha nia yake ya kutoondoka Old Trafford licha ya kwamba mchezaji huyo raia wa Uruguay kugombania namba na Ronaldo.
![]() |
Ole Gunnar Solskjaer |
Bosi wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amekubali kwamba bado hajaamua mlinda mlango yupi atakuwa chaguo lake la kwanza msimu huu, kati ya David de Gea 30 wa Uhispania na Dean Henderson, 24 wa Uingereza.Mlinzi wa Aston Villa Matty Cash anatakiwa na Poland kabla ya raundi inayofuata ya kufuzu Kombe la Dunia kwa sababu mchezaji huyo wa miaka 24 ameonesha utayari wake wa kuchezea nchi ya upande wa mama yake.
Kocha wa Wolverhampton Wanderers, Bruno Lage amevionya vilabu yvya Manchester United na Arsenal kuwa hatamruhusu kiungo wa Ureno Ruben Neves, 24, aondoke bila ya kumalza michezo yake.
![]() |
David de Gea vs Dean Henderson |
0 Comments