MESSI KULAMBA EURO 25.6M PSG


Mchezaji Lionel Messi, 34,raia wa Argentina anatarajia kupata kiasi cha Euro  £25.6m katika misimu miwili ijayo akiwa na klabu ya  Paris St-Germain (PSG).

Messi mshahara wake unatarajiwa kuongezeka zaidi mpaka kufikia Euro £8.5m katika kipindi cha miaka mitatu.

Post a Comment

0 Comments