Klabu ya Simba SC imeahirisha tukio la uzinduzi rasmi wa jezi zao mpya lililokuwa lifanyike leo Jumamosi Septemba 4,2021 Dar es Salaam.

 

Klabu hiyo imesema kuwa matukio yote ya sherehe sasa yatafanyika wakati wa wiki ya Simba ambayo inatarajia kuanza siku ya Jumatatu, Septemba 13 hadi 19, 2021