Mchezo mwingine wa Raundi ya kwanza kwenye mashindano ya kombe la shirikisho Afrika kuchezwa hii Leo Majira ya saa 9:00 alasiri ambapo timu zitakazomenyana dakika 90 uwanjani ni Azam FC na Pyramids FC ( Misri)