BIASHARA UNITED YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI



Timu ya Biashara United ya Mkoani Mara imekubali kichapo Cha BAO 1-0 kutoka Kwa Ruvu shooting mchezo Ambao umechezwa katika uwanja wa Karume .
BAO la Ruvu shooting limewekwa nyavuni na mchezaji Rashid Juma kunako dakika ya 47 ya mchezo huo.

Post a Comment

0 Comments