SIMBA YAILAZA DODOMA JIJI


Mchezo wa Simba na Dodoma Jiji umemalizika Kwa timu ya Simba kupata ushindi wa BAO 1-0, BAO pekee la Meddie Kagere lililotiwa nyavuni kunako dakika ya 70 ya mchezo huo.

Post a Comment

0 Comments