Mchezo kati ya Coastal Union na KMC umemalizika Kwa kutoshana nguvu ya sare ya bila kufungana.

Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga Majira ya saa 8 mchana.