JAJI KESI YA KIGOGO UPINZANI AULA


 Rais Samia Suluhu amemteua Jaji Mustapha Siyani kuwa jaji kiongozi wa mahakama kuu ya Tanzania ambaye kabla ya uteuzi huo jaji Siyani ndiye aliyekuwa jaji kwenye kesi ya mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA taifa Freeman Mbowe.

Post a Comment

0 Comments