Rais wa TFF Wallace Karia ametoa mchanganuo wa fedha zilizowekezwa na benki ya NBC pamoja na matumizi yake kwa msimu wa 2021/2022 kwamba zitatumika kulipa gharama za usafiri, utawala ,katika vilabu vya timu za ligi kuu bara pamoja na mishahara.

TAARIFA ZAIDI