Benki ya NBC na Shirikisho la soka Tanzania (TFF) zimeingia mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa ligi kuu Tanzania Bara na kwa msimu huu wa 2021/2022 benki hiyo itawekeza shilingi bilioni 2.5 kabla ya VAT.