Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake iliyokuwa imepangwa kutolewa uamuzi  wa shauri dogo 'trial within a trial' oktoba 19  imesogezwa mbele hadi oktoba 20 ,2021 kutokana na tarehe hiyo oktoba 19 kuwa ni siku ya sikukuu ya Maulid.