Mti wa asili wa jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kwa matambiko umeachwa na kuhifadhiwa na Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere iliyopo Morogoro baada ya Zana za kisasa na mitambo kushindwa kuuondoa mti huo ili kupisha upanuzi wa barabara kuu inayopita hifadhini.
Mti huo umeachwa kuwa kivutio cha asili
0 Comments