Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama ameongoza kikao kazi cha Maandalizi ya kuelekea kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 kilichofanyika Ukumbi wa JS hotel Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
0 Comments