SABAYA AHUKUMIWA

 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili wamehukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela baada ya kutwa na makosa matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha waliyokuwa wameshtakiwa.

Post a Comment

0 Comments