Baada ya hukumu ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili kutolewa , Sabaya alipewa nafasi ya kujitetea Ili adhabu ipunguzwe ndipo akasema sio yeye Bali alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi wake na pia ahurumiwe kwani ana mchumba walitaka kufunga ndoa na tayari mahari ameshalipa.
0 Comments