Hizi hapa shule 10 bora kitaifa kwenye matokeo ya mtihani wa darasa la 7 mwaka 2021.

  1. Graiyaki, Mara 
  2. St Peter Claver, Kagera 
  3. Rocken Hill, Shinyanga 
  4. Kemebos -Kagera
  5. Bishop Caesar, Kagera
  6. Kwema Modern, Shinyanga
  7. St Margaret, Arusha
  8. Waja Springs, Geita
  9. Kadama, Geita 
  10. Chalinze Modern Islamic, Pwani