Kikosi cha Taifa stars kimeondoka hii leo nchini kuelekea Porto Novo - Benin kwaajili ya mchezo wa kundi Jwa kufuzu fainali za kombe la dunia  utakaochezwa siku ya Jumapili nchini humo.

Wachezaji 23, benchi la ufundi 13 na mashabiki 24.