TANGAZO: UDAHILI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

www.out.ac.tz

 



Chuo Kinapokea Maombi katika ngazi za:


(a) Shahada za Uzamivu

(b) Shahada za Uzamili

(c) Shahada za Awali

(d) Foundation Program

(e) Diploma

(f) Astashahada


Fanya Maombi yako Sasa  Bure bila Malipo (isipokuwa Shahada za Uzamili na Uzamivu hulipiwa 30,000/= ya kutuma maombi) mahali popote ulipo kupitia www.out.ac.tz Au fika kwenye tawi letu la karibu Mkoani kwako Ujaze fomu. Programu zote za Chuo zinapatikana kwenye tovuti tajwa ya Chuo.


Mwisho wa kupokea maombi ya kujiunga Shahada, Stashada, Astashahada, na Foundation Program kwa Muhula wa Novemba ni 15/10/2021 Hakuna mwisho wa kuomba Shahada za Uzamili na Uzamivu 



Imetolewa na:

Dkt. Mohamed Omary Maguo

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

13/10/2021



Post a Comment

0 Comments