TUMEBEBA TENA

Timu ya TAIFA ya wanawake Tanzania Twiga Stars imetwaa ubingwa wa COSAFA baada ya kuichapa Malawi BAO 1-0.
BAO Hilo limewekwa nyavuni na mchezaji Enekia kunako dakika ya 64 ya mchezo huo.

Post a Comment

0 Comments