TWIGA STARS YAITANDIKA BOTSWANA


Timu ya Twiga stars imeitandika Botswana mabao 2-0 hivyo kushika usukani katika kundi B na kujiweka katika nafasi  nzuri ya kusonga mbele kwenye michuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika Kusini.

Post a Comment

0 Comments