Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu bara hii leo uliomalizika mda mchache uliopita.

Magoli ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele na Jesus Moloko ambayo yameifikisha pointi 12 na kuiweka kileleni mwa msimamo wa ligi.