Muogope sana mtu mwenye hofu ya kufanikiwa kwa mwenzake, huyu anaweza akafanya lolote ili mwenzie asifanikiwe.
Watu wa namna hii mara nyingi ni watu wetu wa karibu mno, tunaishi nao na wanafaidika na sisi, lakini mioyo yao ina kelele mno juu yako kuliko vinywa vyao.
Kuwa nao makini
Funzo: Kila Mwanadamu kwenye nafsi yake anamjua mtu wake wa shida na raha, jua na mvua, kukosa na kupata, uzima na ugonjwa.
Kwetu tunaita kimbilio langu. Halafu kuna wale wabeba lawama sikuhizi mnawaita CHAWA
0 Comments