Mchezaji wa Zanaco FC Ernest Mbewe amesema Yanga hawachezi kitimu  bali wanacheza na mashabiki huku akiitolea mfano klabu ya Simba SC  kuwa ni klabu bora kwasababu inacheza kitimu na ndio  inayochukua Makombe.