BEKI Hassan Kessy amejiunga na klabu ya KMC baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Mtibwa Sugar .

Mkataba wake utadumu kwa mwaka mmoja.