Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga David Molinga amerejea bongo na kujiunga na klabu ya Namungo Fc ya Ruangwa ,Lindi  baada ya kumalizana na Klabu ya Zesco United ya Zambia.