Mbunge wa jimbo la ukonga Jerry Silaa  ametiwa hatiani kwa kusema uongo kwamba mishahara ya wabunge haikatwi kodi .

''Azimio la Kamati ya Bunge ya Maadili,Haki na Madaraka ya Bunge kuhusu hatua za kuchukua kwa mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa kusema uongo kwamba mishahara ya wabunge haikatwi kodi ,akiwa mbele ya Kamati hakukiri wala kujutia makosa yake  hivyo Kamati inamtia hatiani hivyo Bunge linaazimia Silaaa asihudhurie mikutano miwili mfululizo na aondolewe kwenye uwakilishi wa Bunge la Afrika (PAP)'' Emmanuel Mwakasaka , Mwenyekiti wa Kamati