Kesi ya kimkataba baina ya klabu ya Yanga na mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison imepigwa tena kalenda hadi Oktoba 26 na mahakama ya usuluhishi ya CAS.
Mwanasheria anayeiwakilisha Yanga kwenye kesi hiyo Alex Mgongolwa amesema walitumiwa taarifa na CAS na muda si mrefu wataitoa hadharani taarifa hiyo.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa na Mahakama ya usuluhishi CAS baada ya Morrison kushinda kesi hiyo TFF.
0 Comments