"Tutaendelea kuwa Tanzania ileile mliyoifahamu, Tanzania mliyoitegemea, Tanzania yenye amani na ushirikiano na Nchi zote, nia ni kuifanya Dunia iwe mahala pazuri na sehemu salama kwetu sote"Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba Hati Miliki za chanjo ya UVIKO-19 zitolewe kwa Nchi zinazoendelea ili ziweze kumudu uzalishaji wa chanjo hizi, hili litaisaidia katika kumaliza tatizo hili na kuokoa maisha ya Watu kwa ujumla"
"..Kabla ya UVIKO-19, uchumi wetu [Tanzania] ulikuwa ukikua kwa kiwango cha asilimia 6.9 ukilinganisha na ukuaji wa sasa ambao umekadiriwa kuwa asilimia 5.4."
Rais Samia kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la UN

0 Comments