Tottenham inaweza kuwa tayari kumuachilia kiungo wa Ufaransa Tanguy Ndombele, 24, katika makubaliano ya kubadilishana na raia mwenzake mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial.
Liverpool bado inaweza kuwasilisha ombi la kumsajili mshambuliaji wa Uingereza wa West Ham Jarrod Bowen. Walihusishwa na ofa ya pauni milioni 20 kwenye dirisha la majira ya joto.
0 Comments