Lori aina Scania lililokuwa likifanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) limeyagonga magari matano katika eneo la Iwambi mkoani Mbeya, na kusababisha moto mkubwa uliounguza magari mawili likiwemo lori hilo.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa ni lori hilo ambalo lilibeba shehena ya kopa kufeli breki.
0 Comments