Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo akiwa Tegeta Dar es salaam kuelekea Bagamoyo ameahidi kulifanyia kazi ombi la Mbunge wa  Kawe Askofu Gwajima la kujengewa shule ambapo amesema fedha zitakazoijenga shule hiyo ni zile zinazotokana na tozo mpya.