Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Mizengo Pinda amegawa Komputa  mpakato (Laptop) kwa CCM na Jumuiya zake Wilaya,  Maafisa Tarafa wote 5 wa Majimbo 3 ya Mufindi na Watendaji wa Kata 16 wa Jimbo la Mufindi Kusini zilizotolewa na Mbunge wa Mufindi Kusini Bw.David Mwakiposa Kihenzile leo tarehe 24.09.2021,Mafinga Mkoani Iringa.