Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limewataja wanafunzi 10 bora kitaifa walioibuka katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2021.

Akitangaza matokeo hayo jana Jumamosi Oktoba 30,2021 Katibu mtendaji wa Necta Dk.Charles Msonde amesema watahiniwa bora kitaifa ni wale waliopata alama nyingi zaidi kuliko wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa.

Amewataja Wanafunzi hao ni :

1.Euleki Evarist Haule kutoka shule ya St.Anne Marie ,Dar es salaam. Ameshika nafasi ya kwanza

2.Happy Joseph Deus kutoka shule ya msingi Twibhoki ,mkoani Mara,nafasi ya pili

3.John Chacha Charles kutoka shule ya msingi Twibhoki,Mara .Nafasi ya tatu

4.Joshua Mahende Jacob kutoka shule ya mssingi Twibhoki ,Mara.Nafasi ya nne

5.Eva Sebastian Chengula kutoka shule ya msingi Fountain of Joy ,Dar es salaam . Nafasi ya tano

6.Joctan Samwel Matara kutoka Twibhoki, Mara .Nafasi ya sita

7.Barnaba Jumanne Magoto kutoka Twibhoki ,Mara .Nafasi ya saba

8.Rahma Ombi Juma kutoka shule ya msingi Mtuki Highland,Dar es salaam. Nafasi ya nane

9.Juliana John Shimbala kutoka shule ya St.Joseph's. Nafasi ya tisa

10.Jackline Manfredy kutoka shule ya Masaka ,Dar es salaam. Nafasi ya kumi

Kupata matokeo:BONYEZA HAPA KUANGALIA