''Nimesimamisha kwa muda uhamisho wa Watumishi walio chini ya ofisi ya Rais - TAMISEMI wanaotaka kuhamia kwenda kwenye Manispaa, Miji na Majiji mpaka tutakapojiridhisha kwasababu nimeangalia takwimu unakuta Halmashauri ina Walimu 2000 halafu ya kijijini ina Walimu 200 kwa hiyo nimepiga stop, tukisema mambo ya ndoa kila Mtu ana Familia tutahamisha wangapi? kwahiyo tunachambua kwanza vigezo halafu tutakuja kufungulia uhamisho" Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu
0 Comments