Droo ya robo fainali michuano ya kombe la Azam Sports Federation Cup (FA) imefanyika hii leo ambapo michezo hiyo ya robo fainali itachezwa kuanzia Aprili 8 hadi 13,2022
Katika hatua hiyo Yanga watakutana na Geita gold, Simba SC watakutana na Pamba , Azam FC vs Polisi Tz na Coastal Union atacheza na Kagera Sugar
0 Comments