Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji akitokea Fenerbahce ya Uturuki.
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Tanzania uhamisho wake umeigharimu Antwerp kitita cha Euro milioni 4 ambazo ni zaidi ya Sh. 10.9 Bilioni.
0 Comments