NA AMON MTEGA,RUVUMA. KATIKA kuupokea mwaka 2022 na kuuaga mwaka 2021 Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Ruvuma kimetumia nafasi hiyo kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Akitoa pongezi hizo mwenyekiti wa…
Read moreNA AMON MTEGA,SONGEA. KATIKA kuuaga mwaka 2021 kisha kuukaribisha mwaka 2022 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Ruvuma limeishukuru kampuni ya Mantra Tanzania Limited kwa kuwasaidia kukarabati gari la kufanyia shughuli za zimamoto ambalo ukarabati wake umetumia zaidi ya Sh.Milioni tatu (…
Read moreKWA NINI? Kwa nini udharaulike? Kwa nini usahaulike Kwa nini uonewe? Kwa nini usalitiwe Kwa nini usipendwe? Kwa nini ukandamizwe? AU KWA SABABU Wewe maskini Huna kazi Huna elimu Huna mvuto Huna ushawishi Huna mchango kwake/kwao Vyovyote itakavyo kuwa Usiruhusu mtu au watu wakudharau sabab…
Read moreMbunge wa Jimbo la Madaba Dkt Joseph Mhagama akiiomba Tanroads mkoa wa Ruvuma kuipandisha hadhi barabara ya Wino,Ifinga hadi Imalinyi ya mkoa wa Morogoro. NA AMON MTEGA,SONGEA . MBUNGE wa Jimbo la Madaba Dkt,Joseph Mhagama amewaomba Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)mkoani Ruvuma ku…
Read moreMkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akizungumza jinsi miundombinu ya kwenye barabara inavyoharibiwa wakati wa kikao cha barabara mkoani humo. NA AMON MTEGA, SONGEA. MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Balozi Wilbert Ibuge ametoa wito kwa Wakala wa barabara Tanza…
Read moreWaziri wa Maliasili na utalii ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Dkt Damas Ndumbaro akimkabidhi zawadi mbalimbali kwenye kituo cha watoto wa mazingira hatarishi cha Mtakatifu Anthony anayepokea ni mtawa Judith Mwageni. Na Amon Mtega,Songea. WAZIRI wa Maliasili na Utalii ambaye pia…
Read moreNA AMON MTEGA, SONGEA. MKUU wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Ruvuma mrakibu wa Polisi Salum Morimori amewataka madereva wa vyombo vya moto kuzingatia kanuni za udereva ili kuepusha ajali ambazo hutokea kutokana na uzembe. Wito huo ameutoa wakati alipofanya ukaguzi wa kushtukiza …
Read moreJeshi la Zimamoto na uokoaji mkoa Morogoro limetoa msaada wa vyakula mbalimbali katika kituo Cha kulelea watoto yatima Cha Dar_UL_Muslim Morogoro . Akizungumza Mara baada ya kukabidhi msaada huo kamanda wa jeshi hilo mkoa Morogoro Goodluck Zelote amesema wameona Ni vyema kuwakumbuka watu …
Read moreWaziri wa Maliasili na utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Dkt Damas Ndumbaro akizungumzia umuhimu wa kutumia fursa zinazoletwa na wawekezaji ,wakati akizindua eneo la ujenzi wa viwanda kwenye Jimbo hilo. NA AMON MTEGA, SONGEA . WAZIRI wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni…
Read moreLorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit.
Our Company Inc. 1238 S . 123 St.Suite 25 Town City 3333 Phone: 123-456-789 Fax: 123-456-789