Bonyeza hapa kutazama
Read moreWatu wawili wanahofiwa kufariki dunia baada ya roli walilokuwemo kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni kisha kulipuka katika eneo la makutano ya barabara ya Mwanza- Tarime- Musoma. Tukio hilo limetokea leo Jumatatu Disemba 4 saa 12 asubuhi katika eneo la makutano wilayani Butiama mkoani Ma…
Read moreIdadi ya vifo vya watu kutokana na mafuriko yaliyotokea katika mji wa Katesh, wilaya ya Hanang mkoani Manyara imeongezeka na kufikia watu 49 baada ya kupatikana miili huku zoezi la uokoaji likiwa linaendelea. Naibu waziri wa Afya Mhe. Godwin Mollel ametoa taarifa hiyo leo akisema idadi…
Read moreWatu 13 wamefariki dunia na wengine 25 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Mwanza kugonga kichwa cha treni katika makutano ya barabara na reli eneo la Manyoni mkoani Singida. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa amet…
Read moreBaraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta Matokeo ya watahiniwa 31 ambayo ni sawa na asilimia 0.002 ambao wamebainika kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi (PSLE) iliyofanyika septemba 13 na 14 mwaka huu 2023. Katibu mtendaji wa NECTA Dr. Said Mohamed amesema …
Read moreIdadi ya watu wa familia Moja ya Lazaro Sanabanka waliopoteza maisha Kwa kile kinachodaiwa kula chakula chenye sumu usiku wa Novemba 13,2023 katika Kijiji cha Nyakanazi kata ya Rusahunga Wilayani Biharamlo mkoani Kagera imeongezeka kutoka watu watano (5) Hadi sita (6) baada ya mtoto Jos…
Read moreTukio la kustaajabisha limetokea katika Mtaa wa Nyamihimbi Kata ya Somanda Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, baada ya mabaki ya mwili wa mwanamke kukutwa ukiwa umefukiwa kwenye shimo. Mwili huo umegunduliwa na Mafundi ujenzi, ambao walikuwa wakichimba msingi wa Nyumba kwa ajili…
Read moreJeshi la polisi mkoa wa Tabora linamshikilia Rayson Agnelusi Duwe muuguzi msaidizi daraja II (ANO) katika hospitali ya Wilaya ya Sikonge, kwa kosa la kumbaka mama mgojwa mwenye ujauzito wa miezi tisa baada ya kumchoma sindano yenye dawa ya usingizi. Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa …
Read moreMwalimu huyo anatuhumiwa kuwabaka wanafunzi 27 wa kike katika madrasa yake kwenye mji mtakatifu wa Touba uliopo katikati mwa Senegal, afisa wa polisi wa mji huo amesema. Mwalimu wa madrasa nchini Senegal anayeshukiwa kuwabaka wanafunzi wake 27 wa kike alikamatwa Jumatatu baada ya wiki kad…
Read moreMashambulizi ya angani yamerindima tena kwenye mji mkuu wa Sudan, Khartoum hii leo huku mazungumzo ya amani yanayofanyika huko Jeddah, Saudi Arabia yakiwa bado hayajapiga hatua yoyote. Wanadiplomasia wa Saudi Arabia wanasema pande zote zinazohasimiana nchini Sudan bado zinajigamba kwamba …
Read moreI meelezwa kuwa tathmini inaonyesha dhana potofu ya mauaji ya ndugu ili kupata mali ni miongoni mwa vichocheo vya matukio ya kikatili katika mkoa wa Geita Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Safia Jongo amesema hayo wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lwamugasa,ka…
Read moreWaasi wa M23 waliendelea na mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, duru za ndani zilisema Jumanne, siku ambayo walipaswa kuanza kuondoka kwenye maeneo yao chini ya mpango wa kikanda. Februari 17, viongozi wa Afrika Mashariki waliwataka makundi yote yenye silaha yasiyo …
Read moreLorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit.
Our Company Inc. 1238 S . 123 St.Suite 25 Town City 3333 Phone: 123-456-789 Fax: 123-456-789